1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 09.09.2023

Sylvia Mwehozi
9 Septemba 2023

Miongoni mwa taarifa utakazozisikia ni pamoja na mkutano wa kilele wa kundi la mataifa tajiri na yale yanayoinukia kiuchumi la G20 unafunguliwa leo nchini India huku migawanyiko kuhusu vita nchini Ukraine ikitarajiwa kujitokeza kwa mara nyingine miongoni mwa nchi wanachama.

https://p.dw.com/p/4W8Zh