Tanzania: Freeman Mbowe anatarajiwa kupanda kizimbani/ Iran inakabiliana na changamoto nyingi za ndani/ Tigray: Maelfu ya raia walifariki, wengine takriban milioni mbili waliyahama makaazi yao/ Mgogoro wa kisiasa wa Tunisia/ Umoja wa Ulaya umetangaza mkakati wa kupambana na utapeli wa fedha