Kutoka Mtwara Kusini mwa Tanzania, kijana Jaffar Ndembo ambaye kitaaluma ni Mhandisi ametengeneza mashine ya kutolea Taulo za Kike ambayo kwa hivi sasa inawasaidia wanafunzi wengi. Tizama vidio ya kurunzi wanawake iliyoandaliwa na Salma Mkalibala. #kurunziwanawake #teknolojia