1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulizi ya Urusi yameua zaidi ya watu 30 Ukraine

8 Julai 2024

Mashambulizi makubwa ya makombora ya Urusi katika miji kadhaa ya Ukraine yamewaua watu 31 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 150, huku kombora moja likitua katika hospitali inayohudumia watoto katika mji mkuu wa Kyiv. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4i1nb