1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Le Pen amechaguliwa tena kukiongoza chama cha National Rally

7 Julai 2021

Kiongozi wa siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa, Marine Le Pen, amechaguliwa tena kukiongoza chama chake cha National Rally, huku akijiandaa kwa uchaguzi wa rais 2022, baada ya kufanya vibaya katika uchaguzi wa mikoa. Makala ya Mwangaza wa Ulaya inamulika kuchaguliwa tena kwa Le Pen na majaaliwa ya chama cha National Rally.

https://p.dw.com/p/3w8zz