1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marienborn: Kituo kikubwa kabisa cha ukaguzi

Sudi Mnette5 Novemba 2019

Kwa takribani miaka 40, Ujerumani iligawanywa kwa ukuta ambao uliwazuia Wajerumani wa Magharibi kujumuika na wenzao wa Mashariki.Katika kipindi hicho zaidi ya watu 100,000 walifanya jaribio la kuutoroka upande huo na 5,000 walifanikiwa kwa kuuparamia ukuta uliozigawa pande hizo.

https://p.dw.com/p/3STXK