1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marejeo nyumbani: Kufunza Sayansi na Teknolojia Tanzania

2 Novemba 2021

Lwidiko Edward alizaliwa Tanzania. Lakini siku zote, daktari huyu ambaye pia ni pia msomi wa sayansi alitamani kuzuru ulimwengu. Baada ya kuishi Sweden kwa miaka mitano akisomea Shahada ya Uzamifu katika Sayansi, Edward alirejea nyumbani na kuanzisha mradi uitwao INSPIRE. Anataka uwe wa kwanza kama ule wa ‘Disneyland’ barani Afrika.

https://p.dw.com/p/42T3D