1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano katika mji wa Beni,DRC

Samia Othman15 Februari 2012

Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kulizuka mapigano alfajiri ya leo (15.02.2012) katika mji wa Beni, uliyoko kwenye mkoa wa Kivu ya kaskazini.

https://p.dw.com/p/143V8
Mapigano Beni,DRC
Mapigano Beni,DRCPicha: AP

Wapiganaji wa maimai walilishambulia jeshi la serikali katika kituo cha jeshi cha Paida. Wanamgambo sita wa maimai na wanajeshi wawili waliuwawa.

Kwa taarifa zaidi huyu tujiunge na John Kanyunyu akiripoti kutoka mjini Beni.

Mwandishi : John Kanyunyu / Sekione Kitojo

Mhariri: Abdul-Rahman