Maoni ya wananchi wa Zanzibar baada ya Rais Karume na Katibu mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad kukutana
6 Novemba 2009Matangazo
Taarifa fupi ya pamoja iliotolewa Ikulu ya Zanzibar ilisema viongozi hao wawili walizungumzia juu ya kushirikiana na kuendeleza mazungumzo yatakayosaidia kuvipeleka mbele visiwa vya Zanzibar na watu wake.
Othman Miraji leo amekusanya maoni ya Wazanzibari wachache kuhusu toke hilo la jana...
Mtayarishaji: Othman Miraji
Mhariri:M. Abdulrahman