1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaItaly

Maoni: Ulimwengu utamkumbuka vipi Silvio Berlusconi?

Josephat Charo/MMT16 Juni 2023

Josephat Charo amewaalika mbele ya Meza ya Duara wachambuzi wa siasa za kimataifa kutathmini urathi wa Waziri Mkuu wa zamani mara nne wa Italia na moja ya vigogo wa siasa barani Ulaya, Silvio Berlusconi aliyeaga dunia siku chache zilizopita. Baada ya zaidi ya miongo mitatu kwenye jukwaa la siasa, je, kifo cha Berlusconi kimeacha pengo kubwa kiasi gani barani Ulaya?

https://p.dw.com/p/4Sggi