1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Uchaguzi wa Kenya mfano wa kuigwa

Josephat Charo
14 Agosti 2022

Wakenya bado wanasubiri matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumanne Agosti 9, ambao kwa kwiangio kikubwa ulifanyika kwa amani. Hata hivyo ugomvi na mivutano kuhusu matokeo katika chaguzi zilizopita ambazo zimekuwa zikifuatiwa na machafuko ya umwamgaji damu, inaibua hali ya wasiwasi na kuwatia wakenya tumbo joto.

https://p.dw.com/p/4FWIF