1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Israel

Maoni : Mashambulizi ya Israel yanayoendelea huko Gaza

Josephat Charo
13 Oktoba 2023

Kwenye maoni juu ya meza ya Duara, Josephat Charo na waalikwa wake wamejadili hali ya mashariki ya kati kufuatia shambulizi la Hamas nchini Israel. Mzozo huo utakuwa na athari gani katika siasa za dunia ? Diplomasia ya kimataifa itaathirika vipi ?

https://p.dw.com/p/4XWAq