1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mali, Burkina Faso na Niger kujitoa ECOWAS

Josephat Charo
3 Februari 2024

Mali, Burkina Faso na Niger zinapanga kujitoa kutoka kwa jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS baada ya kukosolewa kwa kufanya mapinduzi. Kipi kinachoendelea katika jumuiya hii? Mvutano huu unatoa muelekeo gani kwa siku za usoni katika ukanda huu? Jiunge na Josephat Charo katika Maoni mbele ya Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/4c1HK