1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Dhima ya Rwanda katika vita vya Msumbiji

Josephat Charo
12 Agosti 2021

Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za kusini mwa Afrika SADC Jumatatu wiki hii ilizindua tume yake ya kijeshi kuisaidia Msumbiji kuukomboa mkoa wa Cabo Delgado ambao umekabiliwa na vita na machafuko katika miji na vijiji kwa karibu miaka minne sasa. Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/3yvMC