1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Changamoto za soka Afrika Mashariki

Josephat Charo
12 Septemba 2020

Hali ya soka na kiwango cha uchezaji wa timu Afrika Mashariki hususan katika mashindano ya kimataifa haijafikia matarajio ya mashabiki na imekuwa taabani mwaka baada ya mwingine ikilinganishwa na soka la eneo la kaskazini, kusini na magharibi mwa bara la Afrika. Kulikoni? Jiunge na Josephat Charo katika Maoni mbele ya Meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/3iMyg