1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni - Afrika kujitegemea kwa nishati

Khelef Mohammed18 Agosti 2023

Kwenye kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara, mada inayojadiliwa ni Afrika kujitegemea kwa nishati. Je Afrika imeshindwaje kuwa na nishati ya uhakika? Je ni nini kinaweza kufanyika kusudi Afrika ijitegemee katika sekta hiyo? Hayo na mengine mengi yanadadavuliwa na wachambuzi. Nahodha wa mjadala kwa leo ni Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4VJsV