1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Mama aishtaki hospitali kwa kumshikilia mwanae mchanga

4 Oktoba 2023

Mwanamke mmoja nchini Uganda anasema hospitali ilimshikilia mtoto wake kama dhamana kuhusiana na kushindwa kulipa bili na ameshtaki kwa ukiukaji wa haki. Hospitali inasema ana wajibu wa kulipa bili zake, na kwamba alimtekeleza mtoto wake kwao.

https://p.dw.com/p/4X6W7
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kenia Mombasa Ummi mit Kollegen bei blood festivals
Picha: Fathiya Bayusuf/DWPicha: Fathiya Bayusuf/DW

Kurunzi Wanawake

Vidio ya habari na matukio