Kiongozi wa kijeshi aliyeongoza mapinduzi ya Mali ampa dhamana aliyekuwa waziri wa ulinzi kuiongoza serikali ya mpito ya kiraia na nchini Kenya jaji mkuu amshauri rais Uhuru Kenyatta kulivunja bunge baada ya sheria ya kuhimiza usawa wa kijinsia bungeni kushindwa kutekelezwa miaka tisa sasa na nchini Tanzania uchaguzi mkuu wakaribia na siasa zapamba moto.Hii ni Afrika wiki hii.