1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala Yetu Leo: Changamoto za huduma za Afya Tanzania

Florence Majani20 Septemba 2023

Makala yetu Leo safari hii inajikita kwenye suala la Afya nchini Tanzania, tukiangalia mafanikio, changamoto na mapungufu. Je sera ya Afya ya huduma bila malipo kwa wazee imewafaa kwa kiwango gani? Florence Majani anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/4WaYx