1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaKenya

Makala ya Karibuni ya 16.09.2023

Sudi Mnette15 Septemba 2023

Utamsikia jamaa kutoka kaunti ya Nakuru ambae amesafiri kilomita 719 kutoka Nakuru hadi Malindi, akitoa hamasa kuhusu afya ya kiakili. Jina lake ni Robert Ndegwa akisema amewapoteza ndugu na marafiki kutokana na matatizo ya kiakili, wengine wako korokoroni au wanaishi maisha hovyo.

https://p.dw.com/p/4WOEj