1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya uchaguzi DRC yasisitiza, uchaguzi utafanyika

1 Desemba 2023

Umoja wa Ulaya wafuta hatua ya kupeleka ujumbe wa kusimamia uchaguzi Kongo tume ya uchaguzi nchini humo CENI yasema uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa Desemba 20. Sierraleone yashuhudia machafuko kati ya jeshi na watu wenye silaha katika tukio lililotajwa kuwa jaribio la mapinduzi.Na mafuriko nchini Kenya yauwa watu 120.Jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii

https://p.dw.com/p/4ZgUM