1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makaburi ya wakimbizi wa Poland nchini Tanzania

12 Septemba 2019

Katika eneo la Tengeru mkoani Arusha kuna eneo la kitalii ambalo limetunza historia na kumbukumbu ya maisha ya raia wa Poland waliokwenda katika eneo hilo kama wakimbizi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.

https://p.dw.com/p/3PThg