Mahojiano na Seif Shariff Hamad baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi Zanzibar
3 Novemba 2010Matangazo
Mtetezi wa chama cha CCM visiwani Zanzibar kwa urais wa visiwa hivyo, Dk.Ali Mohamed Shein, amepata ushindi wa asilimia 50.1 ya kura. Mpinzani wake kutoka chama cha CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, amepata asilimia 49.1 ya kura.
Othman Miraji amefanya mahojiano na Seif Shariff Hamad.
Mhariri: Othman Miraji
Mpitiaji: Oummilkheir Hamidou