1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani ya Kusini

Magenge ya wahalifu yawahangaisha raia Haiti

16 Agosti 2023

Magenge ya uhalifu yamelielemea jeshi la polisi nchini Haiti, hali ambayo imesababisha wakaazi kuyakimbia nyumba zao na kupiga kambi kando za barabara katika mji mkuu Port-au-Prince.

https://p.dw.com/p/4VEpe