JamiiMafunzo ya karate kwa watu wenye ulemavu wa ngozi ili kujilindaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii21.04.202121 Aprili 2021Klabu hii inatoa mafunzo ya karate kwa watu walio na ulemavu wa ngozi ili kujiimarisha kimwili lakini pia kujilinda, hasa ikizingatia maisha yao wakati mwingine huwa mashakani, kufuatia imani potofu za kishirikina. Ahmad Juma anasimulia zaidi.https://p.dw.com/p/3sL27Matangazo