1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maendeleo ya Wanawake wa Pemba

Salma Said24 Novemba 2022

Katika makala ya Wanawake na Maendeleo tutakupeleka hadi kaskazini kwa kisiwa cha Pemba ambapo huko utapata kusikia maoni ya wanawake wanavyonufaika na miundombinu ya barabara kuzifikia huduma za afya, masomo, sheria pamoja na wajasiriamali kuyafikia masomo ya mijini ambapo kwa miaka mingi wanawake walikosa huduma hizo.

https://p.dw.com/p/4JzwZ