1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maelfu wakimbia vita Kongo

16 Februari 2018

Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekimbilia Uganda, kutokana na ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi ya watu 34,000 wamevuka mpaka kwenda Uganda tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

https://p.dw.com/p/2sotE