1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila yanayowakuta wazee wa Nyandarua nchini Kenya

Sylvia Mwehozi
26 Julai 2019

Ilikuwa raha isiyokuwa na kifani wakati baadhi ya wazee eneo la Nyandarua, Kenya walipopewa nyumba walizojengewa na wahisani. Wazee hawa wamekuwa wakiishi maisha ya uchochole, umri wao mkubwa ukiwa moja tu ya matatizo yao. Changamoto za afya, ukosefu wa usalama na upweke ni magumu yanayowasonga wazee wengi. Makala yetu leo na Wakio Mbogho.

https://p.dw.com/p/3MlRy