1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila ya wakimbizi wa Kongo kwenye mpaka wa Malawi

Prosper Kwigize12 Desemba 2019

Mbiu ya Mnyonge inaangazia madhila yanayowafika wakimbizi wa Kongo nchini Malawi, baada ya kuvuka mpaka wa Songwe wakitokea Tanzania. Wakimbizi hao wamekwama baada y amaafisa wa Malawi kukataa kuwatambua kama wakimbizi.

https://p.dw.com/p/3UhSp