Makala ya mbiu ya mnyonge inaangazia maisha ya kijana Abdalah Ramadhani Sizya mwenye umri wa miaka 37 mkazi wa jijini Arusha ambaye amekuwa hawezi kunyanyuka kitandani kwa kipindi cha miaka 10 baada ya kugongwa na gari alipokuwa akiendesha pikipiki. Ungana na Veronica Natalis, akiwa Arusha, Tanzania.