1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madhila kwenye vituo vya kuhifadhi wahamiaji

15 Juni 2017

Katika mwangaza wa Ulaya, safari hii, Mohammed Khelef anaangazia vijana wa Kiafrika, ambao husafiri safari ngumu ili kufika Barani Ulaya kusaka maisha bora. Anaangazia madhila yanaowapata vijana hawa hasa baada ya kuingia Ulaya na kuwekwa kwenye vituo vya kushikilia wahamiaji, ambayo wanaharakati wa haki za binaadamu huviita kambi za mateso.

https://p.dw.com/p/2ekO4