1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabasi ya utalii ni kivutio kikubwa

Sylvia Mwehozi
28 Novemba 2019

Hamburg ni jiji la pili kwa ukubwa nchini Ujerumani baada ya Berlin. Lina vivutio mbalimbali vya utalii kuanzia majengo ya kale yaliyosheheni historia, makumbusho za aina tofauti pamoja na majengo ya kisasa. Unapoitembelea Hamburg kwa mara ya kwanza, unaweza kutumia usafiri wa aina tofauti kujionea maeneo ya kitalii.

https://p.dw.com/p/3TsKh