1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maalim Seif aitaka jumuiya ya kimataifa kuimulika Zanzibar

30 Oktoba 2020

Mgombea wa nafasi ya urais wa Zanzibar, ambae pia ni mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu kuachiliwa kwake baada ya kukamatwa kutokana na kushiriki maandamano. Akizungumza na waandishi wa habari ameitaka jumuiya ya kimataifa kushiriki kuimulika Zanzibar kutokana na kile alichodai kuwa hujuma wanazofanyiwa visiwani humo.

https://p.dw.com/p/3kfK6