1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LUSAKA: Upungufu wa mafuta nchini Zambia

9 Oktoba 2005
https://p.dw.com/p/CETc

Rais Levy Mwanawasa wa Zambia,amewaonya wapinzani wake kutofanya maandamano kuhusika na upungufu wa mafuta.Amesema, kuwa maandamano hayatosaidia kusuluhisha tatizo hilo.Mtambo pekee wa Zambia wa kusafisha mafuta umefungwa na viwanda muhimu vya shaba vimelazimika kupunguza operesheni zake kwa sababu ya upungufu wa mafuta na bidhaa zingine.