1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgombea wa CCM ana 65%

Hawa Bihoga24 Septemba 2015

Taasisi ya TWAWEZA nchini Tanzania imechapisha matokeo ya utafiti inayosema yanampa nafasi ya juu mgombea wa urais nchini humo kupitia CCM, John Magufuli, mbele ya mgombea urais wa UKAWA, Edward Lowasa.

https://p.dw.com/p/1GcVc