1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lissu: Chadema kimepata uugwaji mkono mkubwa katika kampeni

Veronica (HON)30 Septemba 2020

Mgombea urais kupitia chama cha upinzani Tanzania Chadema, Tundu Lisu, amesema chama chake kimepata ungwaaji mkono mkubwa kutoka kwa wananchi katika majimbo yote ya uchaguzi waliyoyafikia kupitia mikutano ya kampeni mpaka sasa.

https://p.dw.com/p/3jDAm