Mechi za duru ya 19 zinaendelea huku mabingwa wa Bavaria Bayern Munich wakiwa wenyeji wa Holstein Kiel na Borussia Dortmund wakicheza ugenini na Heidenheim. Mabingwa watetezi Bayer Leverkusen wana miadi Jumapili na Hoffenheim nyumbani BayArena. Sikiliza mahojiano kati ya Zainab Aziz na Josephat Charo.