1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, makundi ya waasi DR Congo yameweka chini silaha?

7 Machi 2023

Leo ni siku ya mwisho ambapo makundi ya waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yalipaswa kusitisha vita kulingana na makubaliano yaliyofikiwa na wapatanishi. Je hilo limetimia hadi sasa? Kama la, kipi kinapaswa kufuata? Sikiliza mahojiano kati ya John Juma na Onesphore Sematumba, mtafiti mkuu kuhusu Kongo kutoka shirika la kimataifa la kufuatilia migogoro ICG akiwa Goma.

https://p.dw.com/p/4OMJv