1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Laschet ana nafasi gani ya kuunda serikali ya Ujerumani?

29 Septemba 2021

Aliyegombea ukansela kwa tiketi ya muungano wa CDU/CSU Armin Laschet ameshikilia kwamba anataka kuunda serikali licha ya chama chake kushindwa na pia baadhi ya wanachama wake kumshauri aachane na juhudi hizo. Je ana nafasi gani ya kufanikiwa? Abdul Mtullya analijibu swali hilo.

https://p.dw.com/p/411zm