JamiiKutana na wanawake wakulima wa Azolla mjini MtwaraTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii31.03.202131 Machi 2021Christina Mbele na Elizabeth Erick ni wanawake wanaotumia muda wao katika kilimo cha Azolla. Azolla ni mmea ambao ni chakula cha mifugo na rahisi kulimwa, kilimo hiki kinatumia eneo dogo, hukua haraka na kuvunwa kila baada ya siku 2-3 tu. https://p.dw.com/p/3rQGOMatangazo