1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na wacheza ala za muziki chipukizi

23 Septemba 2022

https://p.dw.com/p/4HGtl

Wasichana wadogo ambao wameamua kuziishi ndoto zao. Wanatumia muda wao wa ziada katika kujifunza muziki. Haikua rahisi kwao kuianza safari hii ya kuvipiga vyombo vya muziki na kuimba lakini wana matuamini makubwa. Wanatamani kuwa wapiga vyombo vya muziki na waimbaji mashuhuri ulimwenguni. Je wanaweza kuziishi ndoto zao? Mtangazaji chipukizi Hadija halifa anaangazia juhudi zao kwenye MsichanaJasiri