1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kurudi kwa taarab asilia Zanzibar

Ahmad Juma29 Desemba 2016

Vya kale ni dhahabu. Vijana wa Zanzibar wameamua kushirikiana kurejesha tarabu asilia, visiwani humo. Kundi la Rahat-L-Zaman lina lengo la kuwakumbusha watu nyimbo za kale zilizosahaulika.

https://p.dw.com/p/2UzzI