Siasa''Wazanzibari 39,999'' yawasilisha kesi kupinga muunganoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaDaniel Gakuba20.03.201820 Machi 2018Kundi la 'Wazanzibari 39,999' limefikisha shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Awali, mahakama ililikataa shauri hilo kwa hoja kuwa halikufuata utaratibu wa kisheria.https://p.dw.com/p/2ud3TMatangazo