1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu John Magufuli alipofariki

Hawa Bihoga17 Machi 2022

Wachambuzi wa diplomasia na uchumi wanasema Rais John Magufuli alifanikiwa kuzitatua changamoto za wananchi wake ikiwemo huduma za kijamii, lakini aliporomosha kwa kiwango kikubwa uhusiano wa Tanzania na mataifa mengine. Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga na mchambuzi wa masuala ya siasa, diplomasia na uchumi Goodluck Ng'ingo.

https://p.dw.com/p/48cEl