Kumekuwa na mjadala miongoni mwa vijana wa ikiwa ni sawa kumlipia mahari mwanamke hasa pale unapotaka kumuoa. Wapo wanaosema mtindo huo umepitwa na wakati, lakini wengine wanadai kuwa huo ni utamaduni mzuri ambao unapaswa kuheshimiwa, Bruce Amani analitazama hilo.