1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kukabiliana na tatizo la usugu wa dawa

Lillian Mtono/ MMT30 Januari 2023

Tafiti za kisayansi zinaonesha tatizo la usugu wa dawa linazidi kuongezeka miongoni mwa watumiaji huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni matumizi holela ya dawa.Je namna gani unaweza kukabiliana na tatizo la usugu wa dawa.Sikiliza makala ya afya yako na Lilian Mtono

https://p.dw.com/p/4Mrso
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Afya Yako Afrika

Jielimishe Kuhusu Afya Yako