1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuelekea Kombe la Dunia la Qatar, timu zataja vikosi vyake

Babu Abdalla11 Novemba 2022

Zimesalia siku 9 kabla ya kuanza kwa mashindano ya Kombe la dunia la FIFA nchini Qatar mnamo Novemba 20. Timu mbalimbali za taifa ziko katika matayarisho ya mwisho huku nyengine zikiwa tayari zimetangaza vikosi vyao. Yapi yanaendelea kwenye maandalizi? msikilize Sekione Kitojo.

https://p.dw.com/p/4JNX5