1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuachana na maisha ya kigaidi

11 Septemba 2019

Kutana na kijana aaliyeachana na kundi la Al-Shabaab, na sasa anashirikiana na maafisa wa serikali katika vita dhidi ya ugaidi mjini Mombasa. Mengi zaidi ni kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia.

https://p.dw.com/p/3PQj8