1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Kombe la Dunia katika mitandao

Elizabeth Shoo13 Juni 2018

Ungana na Elizabeth Shoo katika Sema Uvume ambapo tutaangalia jinsi ambavyo mitandao inachukua nafasi kubwa na ya muhimu katika Kombe la Dunia litakaloanza hivi karibuni nchini Urusi. Tutaenda pia nchini Tanzania ambapo sheria mpya inayotaka mitandao kusajiliwa imeanza kutekelezwa.

https://p.dw.com/p/2zT6q