Mfumo wa elimu nchini Tanzania una lugha mbili, ambapo kwa muda wa miaka saba ya msingi, wanafunzi hujifunza kwa kutumia Kiswahili, masomo ya sekondari na vyuo yako kwa lugha ya Kiingereza. Je, wanafunzi wanawezaje?
https://p.dw.com/p/17CwD
Matangazo
Stumai George anaangalia namna mfumo wa lugha ya kufundishia ulivyo kizungumkuti na kikwazo kwa wanafunzi wa nchi hiyo kujifunza na kufanikiwa kimasomo na kimaisha.